GA-NUTRITIONS

G-A Nutrition ni lishe ya asili inayotokana na mmea wa grain amaranth, ikisaidia kuimarisha afya na kutoa matokeo ya haraka kwa changamoto mbalimbali za mwili. Tumejikita kuwasaidia watu kupata nafuu bila gharama kubwa kupitia lishe salama na bora."

BIDHAA ZETU

Bidhaa mama ya kampuni yetu ni G-A Nutrition – bidhaa ya asili inayotengenezwa kutokana na mmea wenye nguvu wa grain amaranth. Lishe hii maalum imeundwa kusaidia mwili kujijenga upya na kuondokana na changamoto mbalimbali za kiafya kwa njia ya lishe sahihi.

Hata hivyo, tunatambua kuwa si kila changamoto ya kiafya inaweza kutatulika kwa ufanisi sawa kwa kutumia bidhaa moja tu. Kwa sababu hiyo, huwa tunachanganya G-A Nutrition na virutubisho lishe vingine kulingana na aina ya tatizo la mteja. Lengo letu ni kuhakikisha mteja anapata matokeo bora na ya haraka zaidi kwa njia salama na ya asili.

Afya yako ni ya kipekee β€” nasi tunakupa suluhisho la kipekee.

G-A INAPATIKANA KWA GHARAMA YA

TSH/= 60,000 TU.

BONYEZA HAPO

CHINI KUWEKA ODA

 πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

NAHITAJI G-A

MUDA UNAKARIBIA KUISHA WAHI MAPEMA

KUWEKA ODA

SHUHUDA ZA WATUMIAJI WETU

Tazama shuhuda za watumiaji wetu,wengi wametumia na kupata matokeo makubwa

 πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

MASWALI YANAYOULIZWA (FAQs)

  • G-A Nutrition ni nini

  • G-A Nutrition inatibu magonjwa gani?

  • Ni muda gani unahitajika kuona matokeo?

  • G-A Nutrition ni salaama kwa kila mtu?

  • Je ina madhara yoyote

  • Natumia dawa hospitali naweza tumia G-A Nutrition?

  • Mnatoa ushauri wa Afya?

  • Unatumiaje?

  • Ina ladha gani?

  • Naipataje?

1. G-A Nutrition ni nini?

Ni lishe ya asili inayotengenezwa kwa kutumia mmea wa grain amaranth, ikiwa na uwezo wa kusaidia mwili kujijenga, kuongeza kinga, na kupambana na magonjwa mbalimbali.

2. G-A Nutrition inatibu magonjwa gani?**

Inasaidia mwili kupambana na magonjwa kama shinikizo la damu, kisukari, maumivu ya viungo, uchovu wa mara kwa mara, na kinga dhaifu ya mwili. Kwa changamoto nyingine maalum, huunganishwa na virutubisho vingine kulingana na hali ya mteja.

3. Ni muda gani huhitajika kuona matokeo?

Wateja wengi huanza kuona mabadiliko ndani ya wiki 1–2 wanapotumia kwa kufuata maelekezo sahihi. Hata hivyo, muda unaweza kutofautiana kulingana na hali ya afya ya mtu.

4. G-A Nutrition ni salama kwa kila mtu?

Ndiyo. Ni salama kwa watu wa rika zote – watoto, watu wazima, wazee, na hata wanawake wajawazito (kwa ushauri maalum wa mtaalamu).

5. Ina madhara yoyote?

Hakuna madhara yanayojulikana kwani ni lishe ya asili isiyo na kemikali. Ila kwa mtu mwenye mzio maalum, tunashauri kuwasiliana nasi kwa ushauri.

6. Natumia dawa hospitali, naweza kutumia G-A Nutrition?**

Ndiyo. G-A Nutrition si dawa bali ni lishe. Inaweza kutumika sambamba na dawa, lakini ni vizuri upate ushauri wetu wa moja kwa moja.

7. Mnatoa ushauri wa kiafya?

Ndiyo. Tunatoa ushauri wa bure kwa kila mteja kulingana na hali yake ya kiafya kabla ya kumpangia mchanganyiko sahihi wa lishe.

8 Unatumiaje?

Unatumia kwa siku 14 na ni mala mbili kwa siku, asubuh na jion. Chemsha maji yatokote, chota kijiko kimoja cha lishe kilichojaa vizuri kwa kutumia kijiko cha chakula, weka kwa kikombe cha chai cha kawaida kilichotupu,mimina maji yako ya koto, koroga vizur acha iivie kwa kikombe kama dakika15-20 koroga tena kunywa. Usichanganye na chochote

9 Ina ladha gani?

Radha yake ni nzuri na ina harufu nzuri sana hvyo mtu yoyote anaweza tumia hata mtoto bila kujisikia kichefuchefu wala tabu ya kunywa

10 Naipataje?

Tunakuletea mzigo mpaka ulipo kwa dar, kwa mikoani tunakutumia kwa basi na unalipia baada ya mzigo kufika kwa maelekezo kutoka kwa mtoa huduma wetu.



KUHUSU MWANZILISHI

Mr. Meshack Mwandampapa ni mwanzilishi wa G-A Nutrition. Baada ya kupambana na changamoto nyingi za kiafya, aligundua nguvu kubwa ya lishe ya asili inayotokana na mmea wa grain amaranth. Kupitia ushuhuda wa kweli kutoka kwake na watu wa karibu, aliweka msingi wa kampuni hii ili kuwasaidia watu wengi zaidi wapate afya kwa njia salama na ya asili. Leo hii, yeye ni mhamasishaji wa lishe asilia, mkufunzi na mtoa huduma za afya mbadala kupitia G-A Nutrition.

SIKU NI LEO FANYA MAAMUZI LIPIA ,KIRUTUBISHO HIKI,UONDOKANE NA CHANGAMOTO MBALIMBALI

ZA KI-AFYA ZINAZOKUSUMBUA ,BONYEZA BUTTON YA BOFYA HAPA KULIPIA KIRUTUBISHO CHA G-A GHARAMA IMEPUNGUZWA

KWA ASILIMIA KUBWA ILI KILA MMOJA AWEZE KUMUDU ,WEKA ODA YAKO LEO

 πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

HUDUMA ZETU 24/7

Tunatoa huduma sikuzote za wiki

wasiliana nasi usisite kutupigia,tupo tayari

kukuhudumia

DELIVERY NI NDANI NA NJE YA TANZANIA

TUNAPATIKANA

Dar-es-salaam

Mbezi Magufuli round about ya Malamba

Phone:255714965601

Email: Ganutritions@gmail.com

All Rights Reserved@2025